Hizi Bahasha anazogawa Rais wa Zanzibar zina nini?

Hizi Bahasha anazogawa Rais wa Zanzibar zina nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bismillah Rahman Raheem.

Mwenye kufahamu atujulishe ili labda kama zina neema yoyote basi tumuombee dua, ama kama ni vipeperushi vya ccm tuachane naye.

Wabhillah Tawfiq.

Screenshot_2024-06-17-15-29-10-1.png
 
Amewastukia wasaidizi, wakipewa wapeleke Huwa hawafikishi kunako.

Yaweza kuwa ni bahasha zenye kadi ndogo saiz ya bahasha zenye kuwatakia sikukuu njema.
 
Ni kopi ya "kibuluu" ya risala aliyoisoma.Wanatakiwa wakaisome majumbani mwao waielewe kwa uzuri kuhusu uchumi wa kibuluu.
 
Back
Top Bottom