Hizi bahati nasibu za makampuni ya simu zimekaaje?.

Hizi bahati nasibu za makampuni ya simu zimekaaje?.

HGYTXK

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
194
Reaction score
70
Kwenye taarifa ya habari Channel ten leo wametangaza kuwa leo Tigo wamewatangaza washindi 7 ya shinda bajaj ila cha kushangaza ni kwamba washindi wote ni kutoka DSM.Hivi ni kweli Tigo ina wateja DSM tu?.
 
We unashangaa nini,
Wakati mshindi wa Airtel leo ameambiwa umeshinda nyumba,akajibu simple tu,eti haya.
 
We unashangaa nini,
Wakati mshindi wa Airtel leo ameambiwa umeshinda nyumba,akajibu simple tu,eti haya.

Mi nahisi hawa washindi ni watu wao, simply tu mtu unapigiwa simu eti umeshinda nyumba hupati hata mshituko wa furaha kweli? Aaaaah hata kama unazo 10 ikiongezeka 1 lazima uatataharuki tu! Lkn ndo hivyo tena, endeleeni kucheza tu hizo bahati nasibu!
 
Back
Top Bottom