DOKEZO Hizi barabara mbovu Kigamboni na Chamazi, Serikali imeishiwa hela?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Si vibaya kuuliza

Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama mkandarasi hana hela au vp

Barabara ya mbagala kuanzia mbagala kuelekea chanika imechimbwa mashimo ya viraka ukipanda gari ni risk tupu na imeachwa je hela hamna?
 
Hivi ile barabara ya kibada to mwasonga mchakato wa lami umeshia wap
 
Back
Top Bottom