Hizi bei mpya za vifurushi, hakika vinakwenda kuangusha Wasanii

Hizi bei mpya za vifurushi, hakika vinakwenda kuangusha Wasanii

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na watu laki

Ilikuwa kawaida msani kupata streams kibao huko boomplay, audio mack, n.k. Yote hii ilisababishwa kwa gharama nafuu mno za data, Internet ilikuwa ni kitu ambacho watanzania wengi waliweza kumudu.

Ila kwa hizi bei mpya za vifurushi, hakika vinaenda kuangusha wasanii. Wasaniii wajipange kisaikolojia maana kwa hivi vifurushi vipya kiukweli ukali wa maisha ulivyo kwa sasa, wengi wataona nafu kuingiziwa videos kwenye flash kuliko ku stream.

Wasanii wenye followrs milioni 6+ huko waanza kuzoea views elf 15
 
Bia zilikuwa mia 7 mpaka leo elfu kadhaa lakini watu wanaendelea kumimina tu. Bei sio tatizo mkuu
 
Tutakua tunashinda maeneo yenye free WIFI
 
Kweli mtu unaingia youtube na insta kwa machale[emoji1][emoji1]
 
mkuu kuna option ya kukata resolution kwenye video za youtube,tukiona vipi tunakata resoln,mb 7 wimbo mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom