Hizi betting mashine ni janga kwa vijana wetu

jjmm

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
1,221
Reaction score
365
kumekuwa na hizi betting mashine nyingi mitaani ambako nimeona watoto na vijana wetu wameona kama ni sehemu zao za ajira.Kwangu mimi nimeona kama ni bomu linalosubiri kulipuka kwani limewafanya watoto wetu kuwa wavivu na kuona hiyo kama sehemu ya ajira.kibaya zaidi watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 yaaani walioko sekondari wamekuwa ndio wateja tena wamekuwa wezi ili kutafuta pesa ya haraka.Kinachonisikitisha zaid hakuna hatua zozote zile serikali imechukua kuwalinda watoto wetu.Niliwahi kulalamika kuhusu bodaboda wengi wakasema eti ni ajira lakini hebu piga hesabu mtaani kwako kuna vilema na vifo vingapi vya bodaboda.Wakuu tuchukueni tahadhali tutapoteza vijana
 
ili bomu limebakiwa na dk chache sio mda litaripuka tuchukue hatua za makusudi
 
ulikuwa wap wewe ad uone leo hii?nikikuololozeshea wa2 waliopata majanga kwajili ta bettin unaweza lia
 
dah.... betting imefikisha nyumba yangu kwenye lenta!
 
Reactions: DLS
Hatua iliyochukua Serikali ni kuchukua kodi yao kwa mshindi
 
Kazi hakuna. Shule hakuna. Maisha magumu. People are idle, and poor. They channel their energy to the one thing they feel they can do and make money out of it, that id betting.
 
Acha wivu,na mbona umejudge tu wanapoliwa vp kuhusu wakila,unakuta mtu kaweka 1000 ameweka mkeka wake baada ya hapo unakuta anapata zaidi ya 25,000
huoni pia hyo inakua ajira
Kwa wanaofuatilia mambo ya sports & games,
 
zpo dunia nzima na kamwe hazitafutwa kwakuwa zinalipia ushuru tena mkubwa
 
Huyu jamaa anapointi ila pointi aliyonayo siyo pointi inayojenga pointi huria. Mimi ni mbetiaji wa miaka miwili sasa ninabiashara kubwa nimepatia mtaji kwenye hii betting kwa kula million 36 kwa elfu moja tu na m-bet super bet.
 
Huyu jamaa anapointi ila pointi aliyonayo siyo pointi inayojenga pointi huria. Mimi ni mbetiaji wa miaka miwili sasa ninabiashara kubwa nimepatia mtaji kwenye hii betting kwa kula million 36 kwa elfu moja tu na m-bet super bet.

acha uongo mdau yaani ule million 36 kwa buku kwa kukusanya ponti 36,000 mhh, acha kupotosha watu,, muda unaofata ukireply uje na ushahidi ,,acha kupotosha
 
acha uongo mdau yaani ule million 36 kwa buku kwa kukusanya ponti 36,000 mhh, acha kupotosha watu,, muda unaofata ukireply uje na ushahidi ,,acha kupotosha

Unaijua m-bet super bet au unazingua tu...
 
Leo kaja mtu mwingine kutoa darsa lkn bado mnaendelea kua wabishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…