Hizi biashara kwenye ugawaji wa dawa mtatuua wenzenu

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
832
Reaction score
992
Habari ya wakati huu ndugu zangu.
Hili suala la mtu kulundikiwa dawa ukienda hospitali hasahasa sisi wa bima ni kwamba madaktari mnataka tupone kwa haraka au limekaa kibiashara zaidi.Niliwahi kwenda hospitali nilipewa dawa kama aina 3 hivi na zote ni antibiotics sijajua ni kubahatisha au ili mupige pesa tu.Hivi juzi kuna ndugu yangu alienda hospitali kapewa dawa ukizigoogle uses zake haziendani kabisa na tatizo analoumwa ili mradi tu zimeandikwa na pesa kwao zimeingia bila kujali sisi wanatujaza sumu mwilini.Tufikiriane katika hili hizi sumu tunazopeana ili mradi tu mmepiga pesa sio vizuri.
Nawasilisha
 
Unakosea sana ku google halafu ukadhani inatosha kukupa uelewa wa matumizi ya dawa.
Hii ni taaluma ya watu na inawaeweka shule miaka mingi sana!Hii si taaluma ya Ku download!
 
Kwanini hakutibiwa na gugo alienda kwa daktari???

Ndugu yako mpuuzi sana gugo ndio kila kitu......stupid specie(In Tulia Akson voice)
 
Kuna kitu kinaitwa sygenism ndio maana unaeza pewa ivo wakati mwingine
 
wakati mwingine google dalili zako utapata tiba hamna haja ya kwenda hosipitali unapoteza muda bure
 
Mi kwangu kumejaa dawa kama hospitalini. Huwa wakinipa nachagua dawa za kunywa maana nimekulia hospitali dawa na matibabu najua japo sikusomea. So huwa nawaenjoy tu ma dr. Wanavyoandika dawa nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…