Habari za muda huu, wakuu tokea tarehe 1/8/2024 kwenye tv yangu hazionyeshi kabisa channels hizi Azam sport 1 HD, Sport 2 HD, na hata sport 3 HD.
Zipo ila zinaonyesha kama sijalipa wakati nimelipa package tayari.
Na nimejaribu kuwapigia Azam customers call center wahapatikani kabisa.
Tatizo nini, mwenye ujuvi aje hapa, tunahitaji kucheki Simba day, tupo mbali na Dar es salaam.