Hizi combination ni nzuri sana

1. Samaki na mihogo

2. Ndizi na nyama

3. Mzuzu mbivu na maini au figo

4. Prawns na tambi nyembamba
unaniangusha kuhusu no 3 andika mkono wa tembo wa muheza na maini au ngisi (calamari)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…