Hahahaha aiseeee ulikuwa kichwani mwangu napenda mnooUgali na dagaa+matembele
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan wewwUgali dagaa na tembele au bamia
Ndevu za mwanaume zilichongwa kwa ustadiMzuzu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii inaitwa consensus Ad idem
Asee nimesikia njaa ghaflaDagaa likaangwe kwa mafuta ya mawese, Liwe na nyanya chungu na mbilimbi