Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
1. Samaki na mihogo
2. Ndizi na nyama
3. Mzuzu mbivu na maini au figo
4. Prawns na tambi nyembamba
ukimaliza kula unajilaza hapo hapo chini sakafunikiporo cha wali maharage na chai ya rangi asubuhi..
combination nzuri sanaUgali na samaki +mtindi
Ugali hata uwe mkubwa vp huwa haubaki.combination nzuri sana
Hasa kiwe na pilipili kidogo