K komagi Member Joined Nov 1, 2010 Posts 62 Reaction score 2 Nov 2, 2010 #1 jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Nov 2, 2010 #2 zilichakachuliwa na timu ya miraji
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Nov 2, 2010 #3 komagi said: jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo Click to expand... mtu kapewa millioni 5 kunununua laptop. yeye anaenda kununua laptop ya laki 8. what do you expect?
komagi said: jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo Click to expand... mtu kapewa millioni 5 kunununua laptop. yeye anaenda kununua laptop ya laki 8. what do you expect?
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Nov 2, 2010 #4 golder said: zilichakachuliwa na timu ya miraji Click to expand... miraji ndio nani na anawadhifa gani nec?
golder said: zilichakachuliwa na timu ya miraji Click to expand... miraji ndio nani na anawadhifa gani nec?
G Godfrey Mwaja Member Joined Oct 15, 2010 Posts 24 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #5 mimi sielewi system inasaidia kurahisisha kazi, inakuaje hapa zifanye kazi iwe ngumuu..?, kwa kweli mimi sielewi hapa tatizo nini
mimi sielewi system inasaidia kurahisisha kazi, inakuaje hapa zifanye kazi iwe ngumuu..?, kwa kweli mimi sielewi hapa tatizo nini
Jatropha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2009 Posts 1,151 Reaction score 200 Nov 2, 2010 #6 nata said: miraji ndio nani na anawadhifa gani nec? Click to expand... miraji kikwete