kifafa kinakuanza,tafuta tibaKwa takribani miezi sita sasa nimekua na tatizo lakustuka stuka nikiwa usingizini.Mwanzo nilihisi kama naota lakini ilitokea nimelala na mtu ndipo amenieleza ninavyokua.
Hua mwili unakakamaa kwa sekunde kadhaa kisha narudi kwenye hali ya kawaida aidha niendelee na usingizi ama niamke.
Sasa sijui hizi ni dalili za tatizo gani naomba kama kuna Dr mwenye kuelewa dalili hizi anifafanulie kwani nimeanza kuingia hofu sasa.
Mkuu Kabla Ya Kuhukumu Kuwa Ni Kifafa Moja Kwa Moja, Kwanza Nenda Hospital Ukapime Wingi Wa Damu! Kwani Damu ikiwa Nyingi Sana Mwilini Wakati Mwengine inasababisha Kama Hivyo ulivuieleza.Daaah ni kama mwili umekufa ganzi kwani nahisi akili haikujiandaa kusikia hayo ila yanipasa niyafuatilie.Hivi nini chanzo cha ugonjwa huu?Lakini pia hivi kifafa kinatibika wakuu na kama kinatibika matibabu yake yanapatikana wapi?