[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Misoprostol ni dawa ambayo huchochea contractions za mji wa mimba(uterus) hivyo hutumika saana legally ku induce labour kwa wajawazito walio labour dk za kujifungua.
Mifepristone ni progesterone antagonist yaani huzuia ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone kwa wanawake. Hii hutumika saana wakati wa abortion maana hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone ambacho ndicho hulea (nourish) kiumbe ktk mji wa mimba. Kupungua kwa kichocheo hiki hupelekea kutenganisha kiumbe na makazi yake( mji wa mimba) hivyo kua rahis kutolewa nje kbsa ya mwili.
Dawa hizi hutumika kwa pamoja illegally kufanya abortion maana baada ya kiumbe kupoteza maisha yake au makazi yake kwa Mifepristone huondolewa nje kwa contractions kutumia Misoprostol.
MAELEZO HAYA NI FOR EDUCATION PURPOSES ONLY.
NAWASILISHA.
Huu ndiyo ukweliMisoprostol ni dawa ambayo huchochea contractions za mji wa mimba(uterus) hivyo hutumika saana legally ku induce labour kwa wajawazito walio labour dk za kujifungua.
Mifepristone ni progesterone antagonist yaani huzuia ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone kwa wanawake. Hii hutumika saana wakati wa abortion maana hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone ambacho ndicho hulea (nourish) kiumbe ktk mji wa mimba. Kupungua kwa kichocheo hiki hupelekea kutenganisha kiumbe na makazi yake( mji wa mimba) hivyo kua rahis kutolewa nje kbsa ya mwili.
Dawa hizi hutumika kwa pamoja illegally kufanya abortion maana baada ya kiumbe kupoteza maisha yake au makazi yake kwa Mifepristone huondolewa nje kwa contractions kutumia Misoprostol.
MAELEZO HAYA NI FOR EDUCATION PURPOSES ONLY.
NAWASILISHA.
Duuh itakua hatari kama kazikuta[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kijana kwa maelezo haya utakua ushamvuruga mtoa mada, hapo unaweza kukuta amezikuta hizo dawa kwenye mkoba wa WIFE na hana taarifa kama wife ni mjamzito
Aisee wewe kijana ntakutafuta kwa Dispensary yangu tuje kupiga pesaMisoprostol ni dawa ambayo huchochea contractions za mji wa mimba(uterus) hivyo hutumika saana legally ku induce labour kwa wajawazito walio labour dk za kujifungua.
Mifepristone ni progesterone antagonist yaani huzuia ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone kwa wanawake. Hii hutumika saana wakati wa abortion maana hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone ambacho ndicho hulea (nourish) kiumbe ktk mji wa mimba. Kupungua kwa kichocheo hiki hupelekea kutenganisha kiumbe na makazi yake( mji wa mimba) hivyo kua rahis kutolewa nje kbsa ya mwili.
Dawa hizi hutumika kwa pamoja illegally kufanya abortion maana baada ya kiumbe kupoteza maisha yake au makazi yake kwa Mifepristone huondolewa nje kwa contractions kutumia Misoprostol.
MAELEZO HAYA NI FOR EDUCATION PURPOSES ONLY.
NAWASILISHA.
Karibu sanaAisee wewe kijana ntakutafuta kwa Dispensary yangu tuje kupiga pesa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Daaah acha tu maisha yende kasi kama Chupi ya Nandy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kijana kwa maelezo haya utakua ushamvuruga mtoa mada, hapo unaweza kukuta amezikuta hizo dawa kwenye mkoba wa WIFE na hana taarifa kama wife ni mjamzito
Asante mkuu. Jana siku mnene nili Google nikakutana na haya majibu nikala kona maana niliogopa kusababisa umauti kwa mleta mada. Uzi wenyewe uliuleta usiku mnene nikaona kusiwe na tafrani. Nahisi alikuwa anapekua mkoba mwenzie akiwa usingizi mzito. .Misoprostol ni dawa ambayo huchochea contractions za mji wa mimba(uterus) hivyo hutumika saana legally ku induce labour kwa wajawazito walio labour dk za kujifungua.
Mifepristone ni progesterone antagonist yaani huzuia ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone kwa wanawake. Hii hutumika saana wakati wa abortion maana hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone ambacho ndicho hulea (nourish) kiumbe ktk mji wa mimba. Kupungua kwa kichocheo hiki hupelekea kutenganisha kiumbe na makazi yake( mji wa mimba) hivyo kua rahis kutolewa nje kbsa ya mwili.
Dawa hizi hutumika kwa pamoja illegally kufanya abortion maana baada ya kiumbe kupoteza maisha yake au makazi yake kwa Mifepristone huondolewa nje kwa contractions kutumia Misoprostol.
MAELEZO HAYA NI FOR EDUCATION PURPOSES ONLY.
NAWASILISHA.
Wanakuongopea mkuu,wanachomolea mimba hizoSijui kama ni za mimba mbona ni kama vidonge vya kufanya wawe weupe wanameza kina dada na wamama
Wanakuwa weupe sana
hahahaha naona Wife kashakujaza ujinga hapa ili ukizikuta usishtukeSijui kama ni za mimba mbona ni kama vidonge vya kufanya wawe weupe wanameza kina dada na wamama
Wanakuwa weupe sana