HIZI DAWA ZINAFANYA KAZI GANI MWILINI?

HIZI DAWA ZINAFANYA KAZI GANI MWILINI?

Misoprostol ni dawa ambayo huchochea contractions za mji wa mimba(uterus) hivyo hutumika saana legally ku induce labour kwa wajawazito walio labour dk za kujifungua.

Mifepristone ni progesterone antagonist yaani huzuia ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone kwa wanawake. Hii hutumika saana wakati wa abortion maana hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone ambacho ndicho hulea (nourish) kiumbe ktk mji wa mimba. Kupungua kwa kichocheo hiki hupelekea kutenganisha kiumbe na makazi yake( mji wa mimba) hivyo kua rahis kutolewa nje kbsa ya mwili.

Dawa hizi hutumika kwa pamoja illegally kufanya abortion maana baada ya kiumbe kupoteza maisha yake au makazi yake kwa Mifepristone huondolewa nje kwa contractions kutumia Misoprostol.
MAELEZO HAYA NI FOR EDUCATION PURPOSES ONLY.
NAWASILISHA.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kijana kwa maelezo haya utakua ushamvuruga mtoa mada, hapo unaweza kukuta amezikuta hizo dawa kwenye mkoba wa WIFE na hana taarifa kama wife ni mjamzito
 
Huu ndiyo ukweli
 
Aisee wewe kijana ntakutafuta kwa Dispensary yangu tuje kupiga pesa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kijana kwa maelezo haya utakua ushamvuruga mtoa mada, hapo unaweza kukuta amezikuta hizo dawa kwenye mkoba wa WIFE na hana taarifa kama wife ni mjamzito
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Daaah acha tu maisha yende kasi kama Chupi ya Nandy
 
Misoprostol ni dawa ambayo huchochea contractions za mji wa mimba(uterus) hivyo hutumika saana legally ku induce labour kwa wajawazito walio labour dk za kujifungua.

Mifepristone ni progesterone antagonist yaani huzuia ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone kwa wanawake. Hii hutumika saana wakati wa abortion maana hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha progesterone ambacho ndicho hulea (nourish) kiumbe ktk mji wa mimba. Kupungua kwa kichocheo hiki hupelekea kutenganisha kiumbe na makazi yake( mji wa mimba) hivyo kua rahis kutolewa nje kbsa ya mwili.

Dawa hizi hutumika kwa pamoja illegally kufanya abortion maana baada ya kiumbe kupoteza maisha yake au makazi yake kwa Mifepristone huondolewa nje kwa contractions kutumia Misoprostol.
MAELEZO HAYA NI FOR EDUCATION PURPOSES ONLY.
NAWASILISHA.
Asante mkuu. Jana siku mnene nili Google nikakutana na haya majibu nikala kona maana niliogopa kusababisa umauti kwa mleta mada. Uzi wenyewe uliuleta usiku mnene nikaona kusiwe na tafrani. Nahisi alikuwa anapekua mkoba mwenzie akiwa usingizi mzito. .
 
Sijui kama ni za mimba mbona ni kama vidonge vya kufanya wawe weupe wanameza kina dada na wamama
Wanakuwa weupe sana
 
Misoprostal hutumika kama dawa kwa vidonda vya tumbo,lakini zote 2 zinatumika sana kufanyia abortion now days
 
Back
Top Bottom