Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Hii ni baada ya mpenzi wangu kuniambia kuwa hizo ndio pamba zinazobamba na yeye anadata na pigo hizo...
Sasa tatizo liko kwenye huu usafiri wangu wa TZ 11... Yani nina vimiguu vyembabaaa kama vya kunguru, so napata wakati mgumu katika pamba hizo...
By the way, am sure hili ni 'tatizo' la Watanzania wengi... Wenzetu wa Uganda na hata wazungu wamejaliiwa miguu ya haja na hii fashoon inawatoa sana, ila kwa sie wabongo ambao wengi tuna vimiguu vya kunguru, ni sheedah!