Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Mkuu unapitwa hadi na mabasi ???Natoka zangu Moro naenda Dodoma na vitz yangu ila napitwa na kila gari[emoji26][emoji26]....
Ikija rav4 inapita, ikija Ist inapita, likija basi linapita ukishindana nayo unaishia kujichosha tu [emoji22].
Kila root najiona mimi wa mwisho tu[emoji134]
Nakiuza hiki kigari nije huko huko kwenu[emoji2955]
Natafuta mnyama wenye 6cylinder. Hasa hasa Gx110[emoji123]
MITANO TENA[emoji3166]
Vitz yako ni cc ngap ?Natoka zangu Moro naenda Dodoma na vitz yangu ila napitwa na kila gari[emoji26][emoji26]....
Ikija rav4 inapita, ikija Ist inapita, likija basi linapita ukishindana nayo unaishia kujichosha tu [emoji22].
Kila root najiona mimi wa mwisho tu[emoji134]
Nakiuza hiki kigari nije huko huko kwenu[emoji2955]
Natafuta mnyama wenye 6cylinder. Hasa hasa Gx110[emoji123]
MITANO TENA[emoji3166]
800Vitz yako ni cc ngap ?
Vitz c huwa zina cc 990 na kuna za cc1290 hiyo 800 vipi mkuu
Ni kweli.... Ila dah!Hii kitu huwa inakera sana. Ila ukiwaza usalama unaona bora iwe hivyo
990Vitz yako ni cc ngap ?
Duh! 100km/h road ya Moro-Dom?Hiyo gari inatatizo, maana hata gari ya 660cc speed ya 100-110 inafikisha bila shida
Kweli aiseeeSuala ni ujasiri wa kuendesha hizo speed za wenzio.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] taratibu mkuu,Nimeshangaa sana unapojaribu kuishindanisha Bajaj yako na magari
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Haitatokea, gari ndogo hz cc990 unatembea nayo huku unaionea hurumaWewe hata ukipewa alteza utakuwa unaachwa tu mbona vitz zinagonga 130 vizuri bila shida
Nunua toyota crown[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Haitatokea, gari ndogo hz cc990 unatembea nayo huku unaionea huruma