hizi fomu mpya za kujaza benki

hii ndiyo sababu mimi fedha zangu siweki benki. Kama ni kutuma ama kupokea fedha nitatumia m-pesa.....
 
Wakuu nashukuruni kwani nimepata mwanga kuhusiana na hizi fom sasa nitakwenda kuzijaza ,juzi nilikwenda Bank nikazisoma nikapata hofu nikaondoka.
 
Jamani nina jamaa yangu nje ya nchi mnaona atafanyaje ana pesa kwenye account.

tusaidieni afanyaje?

msaada please?
 
Hata mimi nina jamaa yangu yuko nje ya nchi, ni mtumishi wa serikali mshahara wake unaingia bank mpaka sasa huyu anafanyeje?. Kwa aliye na taarifa yoyote tafadhari
 
ingekuwa vema ukimsukumia fomu
ipo #27 yeye akijaza na kuambatanisha na hiyo
barua ya mwajiri wake ascan akutumie huku then wewe
utampelekea benk. kama nimekosea wenye kufahamu
zaidi watasema hapa.

Hata mimi nina jamaa yangu yuko nje ya nchi, ni mtumishi wa serikali mshahara wake unaingia bank mpaka sasa huyu anafanyeje?. Kwa aliye na taarifa yoyote tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…