Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 991
Wakuu hii Gari nataka kuinunua, nimpatie Dogo apige nayo kazi ya Bolt, ni Vits namba B inauzwa 4.5 tumeshushana na jamaa hadi 3.8 na amegoma kushuka zaidi ya hapo, vipi nikichukua kwa bei hiyo ni sawa au nitakuwa nimepigwa
Vipengele vya Gari ambavyo havihitaji fundi kuvigundua
a) Mlango wa Dereva unaufungulia kwa ndani, ukiulock kwa nje haufunguki
b) Taa za Indicators na Hazard hazifanyi kazi
c) Njia ya Maji ya wiper imeziba, Maji hayatoki
NB: Gari nimeitest kwa kuendesha nimeuona ipo sawa japokuwa Mimi sio fundi, je ni vitu gani tena vingine vya kuzingatia kabla sijaichukua?