Hizi godoro zimetengenezwa na fiber na sio sponchi

Abubakari Mussa

Senior Member
Joined
Mar 26, 2020
Posts
129
Reaction score
188
Habari boss wangu
Chukua muda wako kusoma huu uzi

Leo nakuletea magodoro kampuni mpya na kitu kipya kwenye soko

Hizi godoro zimetengenezwa na fiber na sio sponchi
Fiber ni material kama nyuzi nyuzi
Hili godoro ni tiba ya mgongo
Angalia picha kuona fiber ilivyooo

Magodoro yetu yana warranty ya miaka 20

Ukinunua kwetu nakueletea bure mpaka nyumbani nakupa na mto mmoja bure

Kuuliza ni bure

Mawasiliano - 0659588492
Tupo Arusha
 
Ngoja nikusaidie kuweka picha vizuri kisha tuongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…