:hungry::hungry::hungry::hungry::msela::msela:umesahau condom nazo kuna wanaobeba............lol:A S 20:
umesahau condom nazo kuna wanaobeba............lol:A S 20:
Kumbe amesahau na vingine, wengine huwa wanabeba toilet paper bundle mbili, pakti moja ya nyembe(Sijui ya nini pakti nzima)mbona hujaorodhesha vyote dear??
Kumbe amesahau na vingine, wengine huwa wanabeba toilet paper bundle mbili, pakti moja ya nyembe(Sijui ya nini pakti nzima)
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2
:hungry::hungry::hungry::hungry::msela::msela:
Hapo bado vingine!! :drama:mbona hujaorodhesha vyote dear??
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2
Kha, kumbe wengine hawabebi!
Hapo bado vingine!! :drama:
Umesahau na vitana kama sita hivi na khanga ukiona handbag ilivyotuna kama kuna hela vile ametoka benki kuna siku kibaka mmoja alimuibia dada mmoja begi lake ndani yake aliambulia eye shadow, lipstic, lip gloss, toilet paper, wembe, khanga, kulikuwa pia na pedi mbili ambazo hazijatumikahahahah lol
tuanze na macho
eye liner
eye lashes
eye shadow
mascara (times 2)
mdomo
lipgloss
lipstick
lipensal
uso ..
water make up
powder make up
canceler
Blasher
hapo kuna ma brash kama sita hivi..
ni hii ni kwa mtu ambae havai make up sana usoni tu..
Miss you too, leo mkoloni alikuwa amekabaa koo languUmetokea wapi wewe??? miss you!
Umesahau na vitana kama sita hivi na khanga ukiona handbag ilivyotuna kama kuna hela vile ametoka benki kuna siku kibaka mmoja alimuibia dada mmoja begi lake ndani yake aliambulia eye shadow, lipstic, lip gloss, toilet paper, wembe, khanga, kulikuwa pia na pedi mbili ambazo hazijatumika