BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Tanzania imekuwa ikikabiliwa na tatizo la Upungufu wa Umeme karibia kila mwaka licha ya kuwepo ahadi za kuondokana na tatizo hilo mara kwa mara kutoka kwa Mamlaka na Viongozi wake
Kwa takriban miaka 6, Serikali imekuwa ikitaja mikakati ya kumaliza tatizo la Upungufu wa Umeme linalosababisha uwepo wa Mgawo wa Nishati hiyo lakini utekelezaji wake umekuwa na changamoto nyingi ikiwemo uzalishaji wake kwa kiasi kikubwa kutegemea zaidi Umeme wa Maji katika vyanzo vingi.
Kwa nyakati tofauti, waliowahi kuwa Viongozi Wakuu kutoka Wizara ya Nishati wakiwemo Mawaziri 3 (Prof. Sospeter Muhongo, Dkt. Medard Kalemani na Januari Makamba) na Mkurugenzi wa zamani wa TANESCO Mhandisi Felchesmi Mramba waliowahi kunukuliwa wakiahidi kuwa Tanzania itauza Umeme nje ya Nchi, ahadi ambayo imekuwa ikijirudia bila kuwa na matumaini ya kutimia
Viongozi waliowahi kuahidi kuwa Tanzania itaanza kuuza Umeme Nje ya Nchi ni wafuatao
Kumbukumbu za Ahadi za Kuuza Umeme Nje ya Nchi zilizowahi kutolewa na Viongozi Nchini
Julai 2013
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo aliahidi kuwa Nchi inajiandaa kuuza Umeme nje ya Nchi
Februari 2020
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Medard Kalemani
Soma pia:

- Sospeter Muhongo: Tanzania kuuza umeme nje ya nchi kuanzia mwakani
- Wizara ya Nishati na Madini: Tanzania kuuza umeme Kenya na Zambia
- Mkurugenzi wa TANESCO Felchesmi Mramba: Tanzania kuuza umeme nje ya nchi mwaka 2016
- Naibu Mkurugenzi TANESCO Deckian Mhaiki atangaza Tanzania kuanza kuuza umeme Kenya ndani ya miaka miwili
- Tanzania yazindua Tanzania Power Interconnector Project kwa ajili ya kuuza umeme kwenye nchi za EAC na SADC
- Maajabu Tanzania: Kutoka kuuza umeme nje ya nchi hadi kununua umeme 'cheap' toka Ethiopia
- Mwakilishi wa TANESCO: Mchakato wa kuuza umeme nchi jirani unaendelea
- Zambia kununua Megawatt 300 za Umeme kutoka Tanzania baada ya Ukame Kuathiri Mabwawa ya Umeme
- Serikali: Tumedhamiria kuzalisha umeme mwingi, ziada tutauza nje ya nchi
- Waziri Mkuu Majaliwa: TANESCO imezalisha umeme zaidi ya mahitaji
- Dkt. Biteko aeleza Tanzania inavyojiandaa kuuza umeme nchi jirani na uwepo wa soko la uhakika
- TBT Biteko January, 2025: Serikali kukamilisha kuuza umeme nje ya nchi
- Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje