Hizi hapa ahadi za wanasiasa na serikali kuhusu kuanza kuuza umeme nchi za nje

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Tanzania imekuwa ikikabiliwa na tatizo la Upungufu wa Umeme karibia kila mwaka licha ya kuwepo ahadi za kuondokana na tatizo hilo mara kwa mara kutoka kwa Mamlaka na Viongozi wake

Kwa takriban miaka 6, Serikali imekuwa ikitaja mikakati ya kumaliza tatizo la Upungufu wa Umeme linalosababisha uwepo wa Mgawo wa Nishati hiyo lakini utekelezaji wake umekuwa na changamoto nyingi ikiwemo uzalishaji wake kwa kiasi kikubwa kutegemea zaidi Umeme wa Maji katika vyanzo vingi.

Kwa nyakati tofauti, waliowahi kuwa Viongozi Wakuu kutoka Wizara ya Nishati wakiwemo Mawaziri 3 (Prof. Sospeter Muhongo, Dkt. Medard Kalemani na Januari Makamba) na Mkurugenzi wa zamani wa TANESCO Mhandisi Felchesmi Mramba waliowahi kunukuliwa wakiahidi kuwa Tanzania itauza Umeme nje ya Nchi, ahadi ambayo imekuwa ikijirudia bila kuwa na matumaini ya kutimia

Viongozi waliowahi kuahidi kuwa Tanzania itaanza kuuza Umeme Nje ya Nchi ni wafuatao

Kumbukumbu za Ahadi za Kuuza Umeme Nje ya Nchi zilizowahi kutolewa na Viongozi Nchini


Julai 2013
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo aliahidi kuwa Nchi inajiandaa kuuza Umeme nje ya Nchi

Your browser is not able to display this video.



Februari 2020

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Medard Kalemani


Your browser is not able to display this video.

Soma pia:
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 

Kauli za kihuni
 
Upungufu wa umeme kwa baadhi ya maeneo ambayo "si ya kipaumbele" haimaanishi hatuuzi umeme nje.

Kuna sehemu nyingi kuna njaa lakini jirani akipata mafuriko tunampa chakula toka NRFA.
Endeleeni kuiamini serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…