Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

Embe tuliletewa na wahindi sasa sisi tumeleta nini?
Ila wenzetu wanayaleta ulaya na kupata faida kubwa sana
Leteni nje ya nchi maana Embe moja huku ni 3,000/=
 
kila aina ya tunda? una Persmon? Mangosteen? Plumus? Star fruit? Blue berries? Richees? Grapes fruits? Fig?

Duniani kuna aina zaidi ya 50,000 za matunda hivyo acha kusema kwamba umeotesha aina zote za matunda.
what is your point, yapo matunda yanakubali hapa bongo na mengine hayakubali, mfano kwa ukanda wa pwani ni ngumu saana kuotesha APPLE likakubali, nilijaribu wambugu apple pamoja na mbegu nili buy Kuffel Creek garden , iliota poa ilitoa mauwa mengi ila kutokana na joto miti ilishambuliwa na magonjwa hapo ndio nikajua unless uwe na special skills tunda linalostawi iringa au arusha ukalileta dodoma au dsm it can be a challenge
Kwa muktadha huo ninaposema kila aina ya matunda ni yale yanayoshawi ukanda ninaoishi, hayo yakwako 50,000 duniani hakuna aliyeotesha yote sehemu moja

kwa meneno mengine ujuaji mwingi upeleke kwa shamba ninayo matunda ambayo naamini hata wataalamu waliobobea wakiyaotesha hayatatoboa
 
Hajui chochote huyo
Ameotesha embe na chungwa anasema aina zote za matunda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ni criteria gani umetumia kutambua sijui chochote, karibu saana kwangu uone, wengine hatuandiki hapa kufurahisha watu, au kufurahisha jukwaa...tunajaribu ku share knowledge as i practice.hayo uliyoyataja kwako wewe ndio yaelekea unayajua ninayo matunda ambayo huyajui na mengine i am sure hutakaa uyaonje kwani you cannot find them anywhere

Kila la kheri
 
Usijiulize mara mbili.
Tumekuandalia aina zote za Miche ya Embe kwa Bei Ile Ile ya 2500 Tu. Miche imebebeshwa yote Hivyo ndani ya Miaka 2 na nusu tu. Utaanza Kuvuna.
Mmenikatisha tamaa sana nilinunua miche yenu matokeo yake embe zimezaa nadani zimeoza
 
Hiyo ni report ya mzungu.........bado ya kwetu wazaramo........tunataka kusikia bolibo...........kunyonya ........Sindano..........mombasa........na nyingine nyingi...........au hizi sio tamu???
 
nina embe kubwa nzuri ila hazina ile ladha tamu ya embe kama iliyozoeleka.

ni kwanini iko ivyo na natakiwa kufanya nini?
 
Mkuu huna haja ya kujibu comments kama hizi kabisa. Maana ni wazi hayupo hapa kuelimika au kujibu hoja kwa hoja yenye mantiki.
Kurudi kwenye matunda, nipo Dodoma nina miti ya matunda zaidi ya ina 19 tofauti. Ila mwaka juzi nilipanda mti wa apple ila umekua kwa kusuasua saana. Kwasababu ya hali ya hewa ingawaje nilikuwa naupa nutrients unazozihitaji. Mwaka huu umezaa ila apples zimekuwa na shape ndefu sio round. Yakikomaa na kuiva nitakupa mrejesho wa ladha yake
 
Reactions: apk
Maneno bila picha ni kelele tu
 
Embe mwaka ni nzuri sana zinapayikana Kilosa ni ngumu na tamu sana.
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-12-04-08-40-27-622-edit_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    76.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_2023-12-04-08-38-43-516-edit_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    116 KB · Views: 8
  • Screenshot_2023-12-04-08-38-03-514-edit_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    88.1 KB · Views: 11
Tupe madini mkuu, wengine wamekaa kubishia wenzao kuwa hawajui,wakati ukweli ni kwamba kila mtu ana kipawa chake tofauti na Mwingine.Mungu mkubwa.
 
Wazo zuri✅🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…