Hakuna miembe ya mbegu fupi mzee...!Mkuu weka picha halafu wengi tunapendelea mbegu fupi zile! Weka na bei.
Huyo ni muuza miche...hana elimu yoyote practical ya maembe [emoji16]Kumbe huhifahamu dodo. Unasema haina harufu? Labda dodo ya kwenu. Dodo ina harufu na ni maarufu na ni tamu sana. Umekariri au kunukuu kwa nani hii makala?
Elewa context mzee...he probably meant the most common fruit trees kwa ukanda huu...embe, pera, stafeli, chungwa, avocado etc...kila aina ya tunda? una Persmon? Mangosteen? Plumus? Star fruit? Blue berries? Richees? Grapes fruits? Fig?
Duniani kuna aina zaidi ya 50,000 za matunda hivyo acha kusema kwamba umeotesha aina zote za matunda.
Are you a fruits farmer mzee au hobby tu!ni criteria gani umetumia kutambua sijui chochote, karibu saana kwangu uone, wengine hatuandiki hapa kufurahisha watu, au kufurahisha jukwaa...tunajaribu ku share knowledge as i practice.hayo uliyoyataja kwako wewe ndio yaelekea unayajua ninayo matunda ambayo huyajui na mengine i am sure hutakaa uyaonje kwani you cannot find them anywhere
Kila la kheri
Kabisa. Anaonekana hana mbele wala nyuma.Huyo ni muuza miche...hana elimu yoyote practical ya maembe [emoji16]
ñMaelezo ya kila aina ya embe yalitakiwa kuambatana na picha yake.