Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 396
- 1,958
Wakuu poleni na majukumu,
Moja kwa moja kwenye mada,kuna hizo indicator of poverty tulizosoma huko shule kama vile lack of capital,lack of education, poor infrastructure nk. Hizo mimi hazinihusu Naomba tuziangalie hizi dalili halisi za Umasikini kwa watanzania kama ifuatavyo👇
1: Unaamini sana katika bahati (Siku yako ipo tu)
Pengine hata ile siku huwa unasema ipo "ipo siku" ukute ilishapita🙄. Komaa always "fortune favors the brave"
2: Una huruma sana kumzidi hata Mungu mwenyewe
Kuna watu maishani mwako ukiwasaidia ndio unakua umefungulia mikosi na majanga. Kwenye dini ya kikiristo hata Yesu mwenyewe hakumponya kila mtu alikua too selective kuna wenye shida wengi tu aliwafungia vioo😎. Hata yule jogoo alietenda wema kwa kuwaamsha wenyeji kila asubuhi nae alichinjwa baada tu ya wageni kufika.
3: Mtoto wa watu humtunzi ila una wivu balaa, hii nayo ni dalili ya Umasikini+uchawi
"Wivu uendane na Matunzo"
4: Unajielezea sana mbele za watu ili ukubalike hii nayo ni dalili ya Umasikini
5: Kwenye mahusiano yako kila mara unapokea hili neno "Nakupenda pia"
Hili neno limekaa kinafiki sana, ni dalili ya Umasikini tu punguza shobo pambana huna mtu hapo😀
6: Mwanaume unavaa boxa siku Tano
Iila ukitaka kukaa iwe ofisini au sehemu yeyote ile unafuta vumbi suruali yako isichafuke🙄. Ewe farisayo ni nani aliyekuroga? Hii ni dalili moja wapo ya Umasikini
7: Kushuka kwenye pantoni na kuanza kukimbia (wakazi wa Dar-Kigamboni) hii ni dalili ya Umasikini
8: Kuvua viatu wakati wa kuingia ndani kwako😀😀
Maana yake viatu vipumue kwanza vimepitia heka heka nyingi+Vumbi.
9: Kuoga kwa kutumia ndoo.
10: Kung'ang'ania kukaa siti ya mbele kwa dereva kwenye daladala huku kiwiko umekiweka dirishani😀
11: Unatembea na vifungashio used vile vya 200,300 na 500 kwa lengo la kusevu pesa.
Yaani unakutana na mtu kwenye daladala amekunja kunja kimfuko cha 200 au 300 hii ni dalili nzurii tu ya Umasikini.
MWISHO:
Hisia bila pesa ni sawa na Ukraine bila NATO 😀🙄
Au ni sawa na TRAB bila TRAT🙄
Na penzi lenye njaa halikawii kufa.
Dalili nyingine za Umasikini ongezeeni Ninyi.
Naam ni mimi mfilisiti nimeyanena haya.