Hizi Hapa sababu za Baba mzazi wa Mohammedi Mchengerwa kuzikwa Makka alikofia

Hilo halituhusu
 
Huna akili
 
Ni shida
Mambo personal.ya familia anaingilia sio sahihi

Mambo ya kwa nini ni ya familia yenyewe
Maswali yako yamejibiwa vyema sana kwenye andiko langu. Maana nilijua watu aina yako watakuwa na hoja kama zako
 
Umeulizwa na watu mtaani kwako unakuja kujibu huku JF we kweli ni tatizo

Unajipendekeza hadi inaleta kinyaa Lukas. Acha huu utoto haukusaidii Lukas, unaondoa manhood yako
Amesaidia pia kutoa elimu kwa sisi ambao tulikuwa hatujui kitu
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo Viroja.
Kumbe wajua sasa kwann waendekeza viroja?
Kumbuka umri wa mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hapa duniani ni mfupi,utumie kwa manufaa huko uendako usiuchezee muda wako ukaendekeza upuuzi utakuja juta mbeleni
 
Kama unachezea muda wako ni wewe na jisemee Mwenyewe.
 
Wewe ushaona mm najaza servers humu kwa maneno ya kipuuzi na kujipendekeza
Sijui mara kububujikwa machozi,na uchawa kibao wa kujitoa ufahamu?
Hata mimi sijipendekezi kwa mtu yeyote yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…