Hizi herufi tatu mbele ya majina ya Wakenya wengi maarufu zina maana gani?

Hizi herufi tatu mbele ya majina ya Wakenya wengi maarufu zina maana gani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Screenshot_20240713-061418_X.jpg
Screenshot_20240713-061232_X.jpg
Screenshot_20240713-061209_X.jpg
Screenshot_20240713-061344_X.jpg
Screenshot_20240713-060515_X.jpg
 
Mh!
Ngoja tusubili wataalamu waje, majibu yakipatika usisahau kunitag mkuu.
 
Heshima/ medali zitolewazo na nchi ya Kenya kwa nafasi mbalimbali za uongozi. Raisi ni first order mawaziri ni second orders.
 
The Order of the Grand Warrior (O.G.W) is an award presented to individuals in recognition of an outstanding service rendered to the country in different responsibilities and capacities
 
Heshima/ medali zitolewazo na nchi ya Kenya kwa nafasi mbalimbali za uongozi. Raisi ni first order mawaziri ni second orders.

Order of the Golden Heart.

CGH... Chief of the Order of the Golden Heart
EGH... Elder of the Order of the Golden Heart
MGH... Moran of the Order of the Golden Heart.
 
Heshima/ medali zitolewazo na nchi ya Kenya kwa nafasi mbalimbali za uongozi. Raisi ni first order mawaziri ni second orders.
Mbona kuna wengi ambao sio mawaziri wanazo na kuna mawziri hawana?
 
The Order of the Grand Warrior (O.G.W) is an award presented to individuals in recognition of an outstanding service rendered to the country in different responsibilities and capacities
Nani huwa anatoa hizo awards??
 
The Order of the Golden Heart(OGH) is the highest honour awarded by the Kenyan government.
 
Ni utumwa mambo leo unaoweka na kutukuza matabaka ya ubaguzi.

Wameiga hayo na wanaendekeza na kuendeleza ubaguzi wa matabaka kutoka kwa Waingereza.
 
Sheikh, Ustadh, Ustadhat, Imam, Ulama, Askofu, Padre n.k
Hapo vipi? Hakuna matabaka?
Sifahamu kuhusu "askofu na padre", hayo useme wewe uliyeyaandika, Lakini kwa ufupi nijuavyo "padre" ni baba. Katika Uislam hakuna kumwita baba ambae hajakuzaa ki halali.

Sheikh = mzee au msomi wa dini.

Ustaadh au Ustadhaat ni Mwalimu.

Imaam = kiongozi wa salat na dini, aambae anaweza kuwa yeyote, hata mtoto mdogo.

Na wote hao katikabUuslam hawachaguliwi na mtu, ucha Mungu wao na vitendo vyao automatically vinawapa lebo hizo.
 
Anaejipachika bila kutunukiwa PhD nimjuae Tanzania hii ni msanii Hemedi PhD.
Professor Maji marefu
PhD Babu Tale
PhD Musukuma.
Hawa wametunikiwa??
 
Back
Top Bottom