Wapinzani wakiitwa majina yote hayo wanatakiwa kunyamaza kimya wakifungua mdomo wanaanzisha vurugu.Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu
Bado anaendeleza u mungu wake, eti wapeleke muswaada Bungeni wa kufuta vyama vingi. Na hakuna wa kuwazuia.
Mkuu, 'Sky',https://www.facebook.com/video.php?v=646209352841426
Ccm hii ya sasa ni sawa na Chama cha National party (NP) cha makaburu wa Afrika kusini chini ya kina P W Botha, John Vorster na wengine hawa waliamini watu weusi sio binadamu na hapaswi kuwa na sauti wala kuheshimika, waliamini mawazo ya mtu mweusi yanapaswa kupuuzwa na mtu mweusi anapaswa kukandamizwa na kuuwawa... mjinga huyu anatoa kauli akifikiri upinzani unapaswa kufanya kazi zake kwa hisani ya ccm au kazi ya upinzani ni kusifia na kuimba mapambio kwa ccm..... karne hii huyu kijana anajifanya msomi hajui kwamba watu wanapaswa kushindanisha mawazo na wazo zuri linashinda..... kwanini vyombo vya dola vinalea ccm wakiwa wanatoa kauli hatarishi na za kichochezi kama hizi? Mauaji ya kimbari yalisababishwa na kauli za kihuni kama hizi.
John Heche.
kupiga kula! (kura)Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu
Haikutosha mkuu 'Bishweko'.Ndiyo maana tangu 2015 niliamua kuitupa kadi ya CCM chooni
Kwa wewe kufanya uamzi huo na kuachia hapo.Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu