Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Hizi kazi zimekuwa nyingi na hakuna watu wa kuzifanya mpaka UK inatafuta wafanyakazi kutoka nje.
Jaribu bahati yako, ukweli ni kazi za kuangalia wazee,
sasa wewe kama unaona haikufai, pita kushoto,
Wale wanataka kujaribu bahati yao, fursa ndio hii.
Uwe una elimu hata ya uuguzi kutoka chuo kizuri na lugha inapanda
a1care.co.uk

Caregiver Visa Sponsorship UK 2023. A1 Care is Job Sponsor
Obtain a Healthcare & Caregiver Job in UK with Visa Sponsorship from A1Care for free! We are Direct Sponsor for care jobs in UK/England 2023
a1care.co.uk