Шasenge mno yaani maelezo kibao Ila hawajaweka masuala ya hela. Ila hii lazima uwe mtu wa afya kweli kweli wakuu, maana kuna kuwanepisha.
Wazee wameshazeeka so Hakuna wa kuishi sio Kama afrika ni sawa saivi watt tunawapeleka day care wakiwa wadogo so na huku itafikia wazee tutapelekwa huko pia na masuala ya misiba sijui nzengwe zitaisha ujue ni company tu za misiba Keisha habari na itabidi kila kiumbe kikatiwe bima akifa tu bima inalipa kampuni inafanya maziko Keisha habari wewe kazi yako ni kupeleka shada za maua.
Sema blacks hatujabanana kiivyo so tunao muda wa kukusanyika