sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usituletee makasiriko ya kushindwa kwenda Pre Season kisa Aziz Ki amewakausha mfukoni.
Mbali sana huko..hawajiBaada ya aziz ki kumaliza mpunga leo pre season haina maana mnakuja lini karatu mkuu.
kuna swali mnakataa kujibu , hiyo ratiba kuingiliana kumekuja ghafla? U genius wa senzo uko wapi sasa kama hajui ratiba ya miezi miwili mbele? hakumjua ratiba ya mechi ya stars na somalia? hamkujua ratiba ya caf? kwa nini booking iliwekwa turkey email ikatumwa tarehe 14 july matokeo yake mnatakiwa mlipe fidia ya millions 200 kuvunja makubaliano?Simba ilishawahi kuweka kambi Brazil mwezi mmoja kurudi Shamba la bibi aka kalia 2-0 dhidi ya Yanga.
Nendeni mnapoenda, AZZ K anawasubili Kwa Mkapa.
Haya Basi washindi wa pre season hongera, Ila kumbuka tarehe 13 August kichapo Kiko pale pale, hivyo jiandaeni kisaikolojiaUsituletee makasiriko ya kushindwa kwenda Pre Season kisa Aziz Ki amewakausha mfukoni.
Haya Basi yaishe, hizo 200m tutalipa bakuli haijawahi kushindwa kitu, Ila hiyo haitobadilisha kichapo utakachopata hiyo 13 August. Jiandae kisaikolojia.kuna swali mnakataa kujibu , hiyo ratiba kuingiliana kumekuja ghafla? U genius wa senzo uko wapi sasa kama hajui ratiba ya miezi miwili mbele? hakumjua ratiba ya mechi ya stars na somalia? hamkujua ratiba ya caf? kwa nini booking iliwekwa turkey email ikatumwa tarehe 14 july matokeo yake mnatakiwa mlipe fidia ya millions 200 kuvunja makubaliano?
Yamesahau ya River utd kuwageuzia condom.Ilitusaidia kufika robo fainali ya shirikisho na kuongeza idadi ya wawakilishi afrika