Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hapo umesema Kiongozi!Asilimia kubwa ya Haya Mashindano, ni Kujitafutia Pesa kwa migongo ya Riadha.
Udhaifu wa Shirikisho la Riadha Tanzania ndilo lililoletea hayo Yote.
Shirikisho halina Ratiba ya Mwaka hadi muda huu.
Viongozi wengine wapo hata vyeti hawana, je wataweza kusimamia katiba ya chama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oyaaaIts an opportunity to mingle. Ni nafasi nzuri pia kwa SM na girls over 30 kuonekana kwa haraka.
Hili limesababisha Taifa kukosa wawakilishi wa kutosha kwenye mashindano ya kimataifa,Udhaifu wa Shirikisho la Riadha Tanzania ndilo lililoletea hayo Yote.
Shirikisho halina Ratiba ya Mwaka hadi muda huu.
Viongozi wengine wapo hata vyeti hawana, je wataweza kusimamia katiba ya chama?
Asilimia kubwa ya Haya Mashindano, ni Kujitafutia Pesa kwa migongo ya Riadha.
Udhaifu wa Shirikisho la Riadha Tanzania ndilo lililoletea hayo Yote.
Shirikisho halina Ratiba ya Mwaka hadi muda huu.
Viongozi wengine wapo hata vyeti hawana, je wataweza kusimamia katiba ya chama?