Hizi methali zilikuwa na maana sana" Mficha maradhi kilio kitamuumbua"

Hizi methali zilikuwa na maana sana" Mficha maradhi kilio kitamuumbua"

malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,860
Reaction score
2,636
Nabendaga sana methali hizi, pale jambo mtu anapolificha wakati akijua ni lazima litatoa outcome mbeleni.

Kwa mfano mtu akificha ujauzito/ mimba muda ukisonga itajulikana tu anamimba.

Ni hayo tu nimekumbuka mbali sana.

Hasa pale muibuko unapotokea. inakuwaga aibu na fedheha.

Jamani tuenzi lugha yetu ya kiswahili ndiyo tunu yetu.
 
Wachina walificha ugonjwa lakn baada ya muda mfupi duniani kote tulijua,hata hapa kwetu wanajitahid kuficha tumbo Ila mtoto atakuja kuzaliwa Tu iwe Kwa operation au kawaida
 
Back
Top Bottom