Nabendaga sana methali hizi, pale jambo mtu anapolificha wakati akijua ni lazima litatoa outcome mbeleni.
Kwa mfano mtu akificha ujauzito/ mimba muda ukisonga itajulikana tu anamimba.
Ni hayo tu nimekumbuka mbali sana.
Hasa pale muibuko unapotokea. inakuwaga aibu na fedheha.
Jamani tuenzi lugha yetu ya kiswahili ndiyo tunu yetu.