Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,475
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mkiwa hukohuko makaburini mzee wa kimila hua anasimama na kumtangaza atakayefuatia kufa.
Mzee huyo aliposimama....kwa kujiamini kabisa akajikoholesha... afu akasema mtu wa kwanza kuondoka eneo la kaburi ndio atakaefuatia kufa....bila kutaja jina wala nini....
Leo siku ya tatu bado tunazunguka zunguka tu hapa makaburini pamoja na yule mzee...
Stupid mila...