Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Feb 21, 2010 #2 huyu atakuwa ni mmasai au mgogo!
Omuregi Wasu JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 749 Reaction score 149 Feb 27, 2010 #3 wazee wao waliopita walikuwa na busara kweli. Walielewa kuwa technolojia ya simu itabadilika na kuwafundisha watoboe masikio mapema ili waweze kusika fimbo na sime mikononi wakati masikio yakishika simu. Bravooooo!
wazee wao waliopita walikuwa na busara kweli. Walielewa kuwa technolojia ya simu itabadilika na kuwafundisha watoboe masikio mapema ili waweze kusika fimbo na sime mikononi wakati masikio yakishika simu. Bravooooo!