Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!
Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"
mmmhhhh humpendi tu,lazima ikupe kichefuchefu......
Huyo jibaba ni mwanaume kama wewe na anastahili kupendwa,haihusu nani kamtumia,yeye kaona uzuri kukutumia wewe...na sijaona ubaya wa hayo maneno!!!
Sasa mwambie leo mbadilishane simu kama ishara ya upendo uone simu zitakazomiminika hapo utajua mpo wangapi. 🙂
Kakuchakachua huyo mpe kibuti!!Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!
Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"
Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!
Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"
Ubaya wake nipale penye red ndo ubaya wake!!mmmhhhh humpendi tu,lazima ikupe kichefuchefu......
Huyo jibaba ni mwanaume kama wewe na anastahili kupendwa,haihusu nani kamtumia,yeye kaona uzuri kukutumia wewe...na sijaona ubaya wa hayo maneno!!!
Kasahau maana mawazo yake yote nijinsi yakukudanganya kumbe kaishalikoroga!!Haya ndio madhara ya copy and paste:clap2::clap2:
Wakati we ndo ungefura kwa hasira ungeomba ban ingekuea umetumiwa wewe . . . .
uwe umeshaanda talaka....Sasa mwambie leo mbadilishane simu kama ishara ya upendo uone simu zitakazomiminika hapo utajua mpo wangapi. 🙂
Mi napenda kudanganywa CPU,em cheer up bwana,
HAPPY VALENTINE MY DEAR!!!!
Wee acha tu;
Mimi ndo kwanza imetinga moja kwenye kiselula changu. Baada ya longolongo za kawaida inamalizia eti: "HAPPY VALENTINE SISTER"
But I am a Brother or lather a man. Nikampigia muhusika bahati akajibu kuwa na yeye alifowadiwa.
Whats the point?
Bahati mbaya mtu mwenyewe yupo Morogoro mimi Dar. Sasa anadai ananipenda since alipoanza kunifahamu Jan, yaani nilihisi tu tangu mwanzo nadanganywa
uwe umeshaanda talaka....
Mitambo wakati wa siku kama hizi inalemewa, inawezekana ilitumwa usiku lakini ikafika hiyo saa 3:30 abh.