MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Sipiyu alokutumia ni wifi au? nimeguswa na hapo aliposema yeye ni wa kwanza!!Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!
Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"
Hahahahhahahhhhhh kumbe imetokea Moro !! Asa we ulitegemea uipate saa ngapi?? Loh imechelewea barabarani bana.....alituma saa sita za usiku si ndo mwanzo wa siku? hahahahaaaaaaBahati mbaya mtu mwenyewe yupo Morogoro mimi Dar. Sasa anadai ananipenda since alipoanza kunifahamu Jan, yaani nilihisi tu tangu mwanzo nadanganywa
mmmhhhh humpendi tu,lazima ikupe kichefuchefu......
Huyo jibaba ni mwanaume kama wewe na anastahili kupendwa,haihusu nani kamtumia,yeye kaona uzuri kukutumia wewe...na sijaona ubaya wa hayo maneno!!!
hujamuelewa Vizuri Michelle.Msg inasema i am the first to wish u this night....then sleep well na hiyo msg katumiwa saa tatu asubuhi. By ze way mzima wewe akin..happy Valentine day.:clap2:
Siku ukiwa karibu nae jaribu kuijepa simu yake JIDIPU uone amekusevu vipi, kama unatumatuma vocha usije ukashangaa kukuta umeseviwa vocha dar
hahahaha mkono mmoja umeshika glasi ya Viceroy mkono wa pili umeshika cm huo muda wa kuandika utoke wapi? ni kufoward tuu!Watu tunafowadi hata 'same 2 u'......
Halafu muda huo Viceroy inakuwa inahitaji attentionhahahaha mkono mmoja umeshika glasi ya Viceroy mkono wa pili umeshika cm huo muda wa kuandika utoke wapi? ni kufoward tuu!
Sms huwa haina maana iwapo mtumaji hajaiandika mwenyewe hasa kuhusu suala la upendo.
Kwa nini usiandike sms wewe mwenyewe ili ueleze hisia zako badala ya ku send sms aliyoiandika mwenzako???
Mitambo wakati wa siku kama hizi inalemewa, inawezekana ilitumwa usiku lakini ikafika hiyo saa 3:30 abh.
Sipiyu alokutumia ni wifi au? nimeguswa na hapo aliposema yeye ni wa kwanza!!
Hahahahhahahhhhhh kumbe imetokea Moro !! Asa we ulitegemea uipate saa ngapi?? Loh imechelewea barabarani bana.....alituma saa sita za usiku si ndo mwanzo wa siku? hahahahaaaaaa