Hizi msg za Valentine za kufowadiana . . . .


Sasa inakuumaje............... ichukulie kama adventure tu.
 
aisee Shossi hapo ni pagumu .mie hata kama nakupenda vipi siwezi kukuachia cm hata iweje.usiombe presha zake aisee
Sasa mwambie leo mbadilishane simu kama ishara ya upendo uone simu zitakazomiminika hapo utajua mpo wangapi. 🙂
 
Sms huwa haina maana iwapo mtumaji hajaiandika mwenyewe hasa kuhusu suala la upendo.
Kwa nini usiandike sms wewe mwenyewe ili ueleze hisia zako badala ya ku send sms aliyoiandika mwenzako???

Very much to the point; mtu anaweza kujipendekeza kwamba amekutumia bonge la msg tamu kumbe ukisoma between the lines unagundua kuwa kuna mtu anachakachua nyuma ya pazia - mwingine analiforward tu jinsi lilivyo bila kuedit kidogo angalau kureflect your reality
 
Daaah mbona jina hilo zuri tu, halafu limekaa kimahaba-mahaba fulani hivi . . . CPU M-BAYAAAAAAAAAAAA halafu wakat huo huo unajileta mwenyewe nakukumbatia huku umelegea mwili mzima, naanza kukubusu halafu naanza k . . . . . .

Sipiyuu acha kuniambia ambia hayo maneno, nitatokea hapo kwenye skriini. Halafu utaona dawa yake!!
 

Mimi hata hiyo concept ya valentine naiona upuuzi mtupu.Mitanzania sijui tukoje,badala ya kuelekeza nguvu zetu kwenye real issues, tunawaza ngono tu, hovyo sana.Halafu hatuko selective hata kidogo,kila kinachokuja tunadaka tu,this thing called Valentine, ni kitu cha kishenzi tu,chenye nia ya kuhamasisha umalaya.Ngoja watukomeshe,shida zitatupamba mpaka utosini.
 
Mboa kawaida tu hayo siku hizi

CPU nimekustukia kinakuuma unajikaza tu. Yani nikutumie msg inaonesha ilitoka kwa Asprin, afu ukaushe tu!! Hata kama unanidanganya unanipenda!! Lazima karoho kakuume kidogo. Sema ukweli!!
 

POLE :coffee:
 


pole mtu wangu mie ngoma ilidunda eti anahitaji kujua kesho ntakuwa wapi hapo ni tayari tar 14 tena saa sita....
 
kha! Ha,ha,ha,ha,haaaa... Kaz kwel kwel yote shda ya nn mimi nimewapanga tuu hakuna hata mmoja niliemtumia vocha sasa hv wala kumtumia sijui hapi valentine zaid ya wao kushndana huyu kaniforwadia ujumbe huu na ule mpaka naona ni bora nizime simu mana huyu anapiga tigo huyu voda yule airtel yan ni raha mustarehe kuwa na wanawake wengi hawakuumiz kichwa na kesho ninasafir
 
miaka ya nyuma mambo ya valentine yalikuwa hayasikiki kiivyo.siku hizi imekuwa kama mcharuko fulani
 
Imeshauriwa wapenzi/wachumba au mke na mume wabadilishane simu za mikononi angalau masaa sita siku ya Valentine kama kweli wanapendana kwa dhati? Inamaanisha mwachie mpenzi wako akae na simu yako na wewe uondoke na simu yake! :A S embarassed::A S embarassed:
 
hii kitu itafanya kazi kwa wale sio aminiana tu ila kama unamwamini ya nini stress za mwenzi wako.. aahaaa
 
Mbona hii meseji ni exactly kama nloltumia mpenzi wangu Sheila wa Moro, usiku wa jana!!!!!!!!!!!! Ina maana kakufowadia wewe? Asalaalee!!

Ehehehehheeheh.... Namimi pia kani''forwad''ia haka kameseji daaah sheila ametupanga bwana.. Ila mi nlie moro acha nifumue linda,.. Ntawahadithia yalojiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…