Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Magu alisema saivi ni msimu wa mvua hivo tukazane kulima, serikali haitoshusha wala kupanga bei ya mahindi.
ha ha ha mkuu kuna muda wa kulima shambani,na pia kuna muda wa kulima huko kwingineMagu alisema saivi ni msimu wa mvua hivo tukazane kulima, serikali haitoshusha wala kupanga bei ya mahindi.
Naamini hata yeye anakupenda pia.Huyo jamaa wa kwenye avatar yako nampenda sanaaa....
Wakati wa mvua si ndo wa kulima mashamba au mimi nakosea!!ha ha ha mkuu kuna muda wa kulima shambani,na pia kuna muda wa kulima huko kwingine
Kama Mimi nimpendavyo huyo mwanamke hapo kunako avatar yakoHuyo jamaa wa kwenye avatar yako nampenda sanaaa....
Yaani hata huku Mwanza hizi mvua zimeniharibia usiku wa Kuamkia leo aisee!Hizi mvua hizi ni balaa tupu.
Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa.
Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa tu lazima ujifunike na ngumi kwa baridi inavyopenya.
Pole sana mkubwa tafuta dawa za kienyeji unywe kuna shipa linakuchunguliaHizi mvua hizi ni balaa tupu.
Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa.
Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa tu lazima ujifunike na ngumi kwa baridi inavyopenya.
Naamini hata yeye anakupenda pia.
What goes around, comes around
Kama Mimi nimpendavyo huyo mwanamke hapo kunako avatar yako
Kwa Mabaharia tuView attachment 1268049
Na Mimi naomba,ata limoja tu,siku yangu itaenda vizuriWoow..... Nashukuru kwa mahaba mujarabu, mabusu mawili kwako....mwaah mwaah...
Matata the K.
Watu wanao lalamika kuhusu mvua lazima watakuwa mijini huko,maana huku kwetu zikianza kunyesha tunafikiria majembe na mipini kama viko safi twende tukalime,unlike wao wanafikiria blanketi,kuoa n.k...Wakati wa mvua si ndo wa kulima mashamba au mimi nakosea!!
Na Mimi naomba,ata limoja tu,siku yangu itaenda vizuri
Ofcozi a hug wonti harm you, will justi warm you