Hizi mvua hizi ni balaa tupu

Tulijua sifa kununua likitanda la sita kwa sita,matokeo yake saivi unajikuta

umelala engo moja ya godoro kwngine kote hupagusi maana ni pabaridiiiii...
 
Nakukumbusha tu kuna gharama izi kwa mimba zisizo na moangilio
Gharama ya kujifungua
Pamperz
Kitenge cha mzazi
Poda
Beseni
Chakula cha mama mjamzito
Matunzo ya mtoto
Bima ya afya ya mtoto
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…