hizi mvua za dar shida tu

petersonchris

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
25
Reaction score
10
leo nimefua vishuka vyangu kabla havijakauka na mvua nayo ikaja kuharibu..sasa hivi nimerudi ili nianue nakuta ndo kwanza vinavuja maji. naona kila dalili ya kutoa pazia mlangoni ili nijifunike mana hamna namna *akiliyangunaijuamwenyewe*
 
Ebu maliza kuongea na simu, kisha uje uandike unachotaka tukushauri
 
Dah.. Shuka ndiyo umeona kitu cha muhimu sana? Kweli akili yako unaijua mwenyewe [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Zamani kuna msemo ulikuwa maarufu sana "kauka nikuvaé sanduku msumali "sasa fuata ushauri wa BAK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…