Hizi Nazo!!!!!

Halafu unakula music kwenye hii kitu..
 

Attachments

  • panasonic.jpg
    18.1 KB · Views: 47
Wakati huo ilikuwa mabaki ya matairi ya tractor, yakifanywa laisoni (raise-on).

Bakhresa (hili ji tajir
La sasa) alikuwa ana kaduka kakushona viatu Uhuru, si hivi vya laisoni.

Suruali vitambaa vya krimplin.

Dawa za mswaki Maxim za kichina, ukipigia kutwa nzima mdomo hauna uwezo wa kupata test ya sukari.

Sukari yenyewe kuipata ilikuwa mpaka upange foleni upatiwe kilo moja kwa wiki kwa kaya.

Ukitaka kula Nyama, mpaka ukapange foleni kwenye mabucha.

Ukipanda Teksi mkipita kwenye vidimbwi vya maji inabidi unyanyue miguu na ilhali umo ndani ya gari, la sivyo unarowesha bugaluu. Teksi zenyewe pijo fo not fo (404) ndio za maana.

Ma-jinsi ya lee na levis mpaka utembelee Mombasa kwenda kuyanunuwa au mitaani kwa bei mbaya (shilin sabin na tano)

Duhhhh, nyerere alitupatia kweli.
 

Hii hapa.......

 
Wakuu wetu wlitumia hizi(Mawaziri na RCs) siyo haya mashangingi

 
Enzi hizo ukiwa na gari kama hii you are the king of the road...
 

Attachments

  • Range_Rover_(1979).jpg
    287.1 KB · Views: 48
Wanywa Mbege Arusha, lazima tuzikumbeke Stout kwa kuwahisha mbege toka Moshi...
 
And you wont believe but in not more than five years this fashion will be back.

Miaka mitano?, hebu nenda pale kwenye korodo ya posta uone zinavyopita, zipo mtaani tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…