Hizi ndio hoja za kumrudisha Freeman Mbowe kwenye kiti?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Hoja za Freeman Mbowe na Wenje nilizozisikia mpaka sasa 👇👇👇

1. Lissu hakuwa na dola 10,000 tukamsaidia ili apelekwe hospital Nairobi aliposhambuliwa.

2. Kuna pesa zetu tunamdai tulimsaidia kwenye matibabu.

3. Nilimlipia tiketi za ndege kipindi anafanya harakati za kusaidia watu migodini.

4. Alikaa kwenye nyumba yangu Dodoma kipindi chote akiwa mbunge.

5. Nilimpa gari yangu

6. Mimi ndio nimemlea kwenye siasa

7. Lissu alirudi Tanzania kwa sababu ya maridhiano.

8. Lissu alipewa umakamu mwenyekiti kwa huruma ya Mbowe.

9. Mbowe ametoa milioni 250 kugharamia uchaguzi.

Ongezeeni mnazozifahamu zangu ni hizo
sinza pazuri
Molemo
Quinine
FUSO
Malaria 2
chiembe
milele amina
Ngongo

Ukistaajabu ya Musa…..
 
Lissu zake zipi
 
Huyu Mbowe ni bonge ya boya tu! Hapo ndo tumeona umuhimu wa kwenda shule badala ya kutegemea ujanja wa mjini/misheni tauni. Shule ni muhimu!
Mbowe is a crap!
 
Sio kwamba Mbowe Hana akili.. Sema mda ukifika ukafosi unakuta hauna hoja... Ni kwamba sababu nzuri kwa Sasa Mbowe hawezi kuwa nayo. Sana sana atalazimika kupata fedheha ili abaki kwenye kiti. Inaitwa kung'ata chuma.
 
Mbowe hana tofauti na Francis Atwoli , apumzike uwezo wake umefikia kikomo.

Fikra mpya zinatakiwa.
images - 2025-01-07T220355.750.jpeg
 
Huyu Mbowe ni bonge ya boya tu! Hapo ndo tumeona umuhimu wa kwenda shule badala ya kutegemea ujanja wa mjini/misheni tauni. Shule ni muhimu!
Mbowe is a crap!
Mkiambiwa hamjui siasa kama alivyo mgombea wenu mnalalama - sasa hizi ndiyo sera za mgombea wenu ili mpatiwe uwenyekiti.
 
Hoja za Freeman Mbowe na Wenje nilizozisikia mpaka sasa 👇👇👇

1. Lissu hakuwa na dola 10,000 tukamsaidia ili apelekwe hospital Nairobi aliposhambuliwa.

2. Kuna pesa zetu tunamdai tulimsaidia kwenye matibabu.

3. Nilimlipia tiketi za ndege kipindi anafanya harakati za kusaidia watu migodini.

4. Alikaa kwenye nyumba yangu Dodoma kipindi chote akiwa mbunge.

5. Nilimpa gari yangu

6. Mimi ndio nimemlea kwenye siasa

7. Lissu alirudi Tanzania kwa sababu ya maridhiano.

8. Lissu alipewa umakamu mwenyekiti kwa huruma ya Mbowe.

9. Mbowe ametoa milioni 250 kugharamia uchaguzi.

Ongezeeni mnazozifahamu zangu ni hizo
sinza pazuri
Molemo
Quinine
FUSO
Malaria 2
chiembe
milele amina
Ngongo

Ukistaajabu ya Musa…..
Kelele zote hizi mwisho wake trh 21.
 
Mkiambiwa hamjui siasa kama alivyo mgombea wenu mnalalama - sasa hizi ndiyo sera za mgombea wenu ili mpatiwe uwenyekiti.
Lengo la kuongoza chama ni kushika dola. Miaka hii hatutegemei mtu ambaye hana digrii awe hapo anapotaka. Yapo mambo ambayo kila mtu anaweza kujifunza mitaani, kama alivyojifunza Mbowe na kufanikiwa, Lakini yapo yale tunayojifunza vyuoni, hayo braza Mbowe hana!

Tulioenda shule tunapomsikiliza, tunaona wazi mapungufu ya akili yake. Nimeangalia hata picha za mitandaoni zinavyofanyiwa ukarabati wa photoshop, unaona tu ni mtu wa mitaani na ignorance!
 
Back
Top Bottom