Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya.

  • 1, serikali iliyopo imejisimika yenyewe na kupora haki wa watanzania na uchaguzi haukuwa halali hivyo Haitokani na matakwa ya wananchi haina uhalali wa kuwakilisha nchi kimataifa na kwenye mijadara mipana kama ya bunge la ulaya.

  • 2, Ndani ya serikali hakuna utawala wa sheria bali maneno ya kikundi cha watu ndio sheria Mamlaka nyingi ndani yake hazipo huru, kupewa nafasi ya kujielezea ni sawa na kuwapa nafasi wahuni walio kabia nyuma ya pazia kuficha ukweli na uwazi.

  • 3, Bunge la ulaya kujadiri Tanzania sio lazima mpaka serikali ijielezee na majadiliano ya bunge la ulaya hayawezi kuwa batili hata bila serikali kushirikishwa ili mradi majadiliano yawe ya kweli na yametokea au yanaendelea kutokea nchini Tanzania.


Bunge la ulaya alipangiwi cha kujadili na wauwaji na vibaka waliojisimika madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…