hizi ndio sababu zinazofanya hiphop isiuze bongo

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1.wasanii hawako smart
mavazi yao yanaonesha ni watu wa aina gani ukikutana nae kama humjui unaweza dhani ni mwizi wa simu mfano afande sele madee juma nature(mzee wa ndala) na nk
2.matusi kwenye tungo
ni kawaida kutumia lugha ya matusi na isipendeza kwenye nyimbo mfano madee kwenye history 'wale wana ni makuma '
3.kujipa sifa ambazo kiuhalisia hawana
hapa huongea vi2 ambavyo haviwezekani kabisa na kujipachika majina makubwa kama nduli idi amini hosama bin laden chinja chinja na nk mfano kuna wimbo wa msani mmoja jina si ujui utamsikia'mimi ndio said kubenea .mimi ndio dokta ulimboka
4.tungo za kukurupuka
hapa uongea vi2 ambavyo havina mashiko mfano roma'tanesco wakizima umeme hupitisha mzigo wa magendo 'wapi alipowaona na wanapitishaga wapi
5 .tungo za chuki
hupenda sana tungo za chuki ambazo hazina faida kwao mfano wanaweza kuanzisha beef na taarabu au rnb na kuanza kuimba nyimbo za madongo ambazo watu hawataki kuzisikia
 
Hahaha leo ndo nimegundua ujui music in general ndo maana kule kwenye thread ya BEN POL ulileta sana ubishi usiokua na maanaa na leo hata point za msing huna kabisa. UNAPOSEMA HIP HOP aiuzi bongo unamana gani? KUUZA kwenye SHOO au KUUZA ALBUM ? UNAWAJUA WATU WANAOFANYA HIP HOP TZ ? JUMA NATURE na MADEE wanaimba HIP HOP? kwenye iyo nyimbo aliyoimba me said kubenea , dk ulimboka UNAJUA KIMBUNGA alikuwa na maana gani au ueeelew? UNAUHAKIKA R.O.M.A alikulubuka? wakati kwa kipindi kile matukio kama hayo yalikua yanatokea kama ujui kitu bora uombe kusaidia WE UNAFIKIR WASANII WANGAP WA BONGO FLEVA WAMEPATA MAFANIKIO MPAKA KUTUAMINISHA KWEL HIP HOP AIUZI ? tupe list ya wasanii kumi wenye mkwanja mrefu kupita hata waSANII WA HIP HOP apa Tanzania ndo utuju kweli kama hip hop aiuzi
 

hiphop mbele bwana msanii msafi mistari mizuri sio bongo hapa kuna siku joh makini alipanda kwenye jukwaa kuchukua tuzo yake huku suruali ipo kwenye makalio kwa chini mpaka akaomba radhi.madee na juma nature walitoka kwenye hiphop huko ndio asili yao hata snoop katokea huko but leo anaimba umenipata mwana hiphop wasanii wa hiphop ndio wanaongoza kwa kupiga mizinga kama lord eyez
 
Kuigaiga mambo wasiyoyaelewa pia..mfano unakuta msanii wetu kavaa koti la baridi wakati wa jua..ukimuuliza eti hiphop...kiufupi bongo hakuna hip hop.
OMMY DIMPOZ makoti yake anayeva kila sehemu naye anafanya HIP HOP, mbona BOngo fleva wanacopy mpaka styles za kucheza kama azonto na ausemi, pia wasanii wa Rnb mbona wana kopy mpaka melodies hausemi? KWA HIYO KIUP KAMA BONGO HAKUNA HIP HOP BAS HAKUNA MZIKI MWINGINE PIA
 
hiphop aiuzi na maana albam na wasanii kupata show nying pamoja na brand ya msanii kuna siku roma alikua anaongea kua walikua nyumbani na mama yake ikapigwa nyimbo ya barnaba mama yake akawa anaimba ikaja nyimbo ya roma mama akasema ebu punguza sauti mbona kelele
 

Usipende kutetea vitu visivyokuwa vya kweli! Wewe ndio utupe ushahidi msanii gani wa hip hop anaefanya vizuri bongo na iwe mfano! Hiyo mnayooiita hip hop bongo si hip hop itafutieni jina lingine.
 
HIP HOP mbele? Msanii msafi mistal mizuri? kwani JOE MAKIN tu ndo anavaa kata k vip wale waliovua boxa jukwaani, vip linex , vip alikiba na n.k Taja kwanza wasanii kumi wa BONGO FLEVA wenye mkwanja mrefu kupita wa HIP HOP hapa TANZANIA
 
bwana mkubwa kuna msani yoyote wa hiphop ambae kakidhi vigezo hivyo kama yupo mtaje wote chali waliokuepo wanatapa tapa usitake tubishane ujinga kwenye listi ya wasani kumi sasa hv wanaofanya vizuri kwenye show mauzo ya ringtone na brand bora kwa jamii weng si wanahiphop hilo liko wazi
 

Nadhani hujanielewa...wote ni walewale tu. Tena hao kina dimpoz sijui ndio kichefuchefu zaidi!
 
kuna siku nilikua nasikiliza kwetu flavor jamaa anapiga freestyle 'madem walivyo kifu
hata wakinivulia nguo sidindi
bora nyeto penzi la mkono'
mpaka mtangazaji akazima biti akamleta mwingine aimbe
 
kuna siku nilikua nasikiliza kwetu flavor jamaa anapiga freestyle 'madem walivyo kifu
hata wakinivulia nguo sidindi
bora nyeto penzi la mkono'
mpaka mtangazaji akazima biti akamleta mwingine aimbe
Hahaha RADIO FLAVOR ? kwel iyo kal LAKIN hayo ni mapungufu tu ya kawaida ambayo hayawez kufanya HIP HOP isiuze MBONA Q-CHILLA CLOUDSFM alisema DIAMOND anasafiria nyota yake" Unaposema Album Zao Haziuzi Unawakika? Nowdays album hazilip twende sasa kwenye shoo mbona wasinii wa HIP HOP wanafanya vizur tu kama PROFESA JAY, ROMA, YOUNG KILLER, STAMINA, KALA JEREMAYA, FID Q , FA na n.k nakuusu Ringtone mbona FA kawa msanii watatu kupata mpunga mrefu milion kumi na nane kwa miezi mitatu I THINK IPO SIKU ATA KALAPINA atuza tu ringtone zake na kupiga mpunga na kuusu wasanii wa HIP HOP kualibika mbona hata bongo fleva wapo ali mbaya kama Q-chilla,T.I.D na n.k
 
kwani kuuza mpaka aje kukutalifu kaulizie album ya fid q kwa wadosi kama utaikuta...........
 
albamu haziuzi yes nina uhakika nenda kwa mamu pale list yote ya albamu hiphop chache au hakuna kabisa .fa umesema kawa wa tatu wa kwanza na wa pili nani ukipata jibu nijulishe umesema nani profesa anafanya vizuri
 
Hip-hop ni nini?

What is hip-hop..?
 

Unabisha kitu usichokijua, kama ni ishu ya mistari yenye matusi ulaya wanaongoza sana kwa kutukana kwenye nyimbo zao. Na hao unaowahisi wewe ya kuwa wanauza albamu zao kwa ulaya huwezi kusikiliza nyimbo zao ukakosa maneno kama ----, Bitch, dick n.k hicho ni kitu cha kawaida katika mistari ya wasanii nguli wa hiphop ambao kwa mujibu wa habari inaonekana wanauza. Ukianzia rick ross, Lil wayne, Jay z, nick minaj, Eminem 50 cent, kanye, snoop na wengineo na isitoshe wanafikia mpaka kusifia matumizi ya mihadarati na madawa ya kulevya.

Tena wameenda mbali zaidi kwa kuwa wanatoa version mbili za single moja i.e Radio version na dirty version. Kuhusu mfano wa R.O.M.A uloutolea, hiyo issue ni kweli na inafahamika kuwa kipindi cha miaka ya nyuma hizo issue zilikuwa zinafanywa sana. Kwamba umeme unazimwa ili tukio la ujambazi lifanyike ama mzigo wa magendo upitishwe.

So conclussion kwa upande wangu ni kwamba kila mtu kuna anachokipenda katika muziki. Wengine hupenda Lyrics, wengine hupenda beats, wengine hupenda kuangalia stage shows wakicheza. Na pia tunapenda aina mbalimbali za music, kuna wanaopenda Reggae, jazz, hiphop, RnB n.k So usichokipenda wewe kwenye Hiphop, kuna wanaokipenda. Na kila biashara ina mteja wake. Kwani hao wakina Jay z wenye mauzo makubwa ilhali wana nyimbo zenye matusi maanake wanaonunua hizo nyimbo wanapenda wanachokisikia ndio maana wananunua album zao.

Kwa bongo issue sio wimbo ama matusi kwenye wimbo, issue ni kuwa muamko wa hiphop hamna ama hakuna.
 
non sense ungekuwa unajua historia ya hip hop usingeongea hivi!!
 
albamu haziuzi yes nina uhakika nenda kwa mamu pale list yote ya albamu hiphop chache au hakuna kabisa .fa umesema kawa wa tatu wa kwanza na wa pili nani ukipata jibu nijulishe umesema nani profesa anafanya vizuri
MBONA UANANG'ANG'ANIA ALBUM ? WASANII SIKU IZI HAWAUZ ALBUM na KAMA wanauza wanajiuzia wenyewe UNASEMA HIP HOP UHUNI mbona kina duli wanaimba matus tu hiyo nyimbo ya utamu, kina A.T-kitumbua , We Utekua na lako jambo AFU KUHUSU RINGTONE aliyeongoza BAHAT BUKUKU wapil DIAMOND watatu FA na walioongoza kwenye ishirini bora ni waimbaji wa injili HIP HOP uhuni kwako ILA KWA WAELEWA NI KITU KIZURI JIULIZE WATU KAMA KINA PROFESA JAYA wanaenda kuimba kwenye kigoda cha mwalim UDSM na wanaeshima kubwa IVI MAANA YA NJOO UNIPE BAADAYE ni NINI, watu wanasifia kudate na wanawake weng(diamond), We Ule Unaona Sio Uhuni Wengine Wanafia Viuno Kina T.I.D au we ndo umeona HIP HOP tu ndo inapungufu kama kuna mtu unachuki nae katika hip hop bora utuambie mapema
 
kuna siku nilikua nasikiliza kwetu flavor jamaa anapiga freestyle 'madem walivyo kifu
hata wakinivulia nguo sidindi
bora nyeto penzi la mkono'
mpaka mtangazaji akazima biti akamleta mwingine aimbe

Ahaaaaaa
Jf bana never get bored
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…