HIZI NDIO SIFA ZA KILA MKOA TANZANIA;je zina ukweli??

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,643
Reaction score
3,301
1.DAR-Utapeli
2.ARUSHA-Ujangili
3.MBEYA-Matukio
4.MWANZA-Fujo
5.TANGA-Mapenzi
6.MOROGORO-Starehe
7.DODOMA-Kuomba
8.IRINGA-Ulafi
9.RUVUMA-Ulevi
10.RUKWA-Uchawi
11.TABORA-Mikosi
12.SHINYANGA-Njaa
13.SINGIDA-Kukeketwa
14.KAGERA-Misifa
15.LINDI-Uoga
16.KIGOMA-Ubishi
17.PWANI-Umwinyi
18.MTWARA-Ving'ang'anizi
19.KILIMANJARO-Ubahili
20.MARA-Hasira
21.MANYARA-Ujuaji .
22.GEITA-Presha
23.SIMIYU-Maradhi
24.NJOMBE-Haraka
24.KATAVI-Aibu
25.PEMBA-Uzazi
26.UNGUJA-Ubinafsi.
Haya mwenzangu watokea mkoa gani?


Sent using iphone
 
Hiyo no 9- fafanua basi ulevi gani maana sisi wangoni tuna ka ulevi ketu kale ka kuvangisa wadala
 
mtoa mada pole sana mana umeandika 'Mbeya-matukio' lakini hujasema ni matukio gani.
 
Baada ya kunyw MIRINDA NYEUTHI
fafanua vzr Mbeya-Matukio matukio gani ayo? make ata utapeli ni tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…