warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Sometimes I do believe kuwa majina ya watu yanaweza ku play role kubwa kwenye mafanikio au mkosi kwa mtoto husika,it might be, pengine wazazi wanapochagua majina kwa watoto wao wawe makini sana,kwani inaweza kuwa cost au kuwafanya waishi kulingana na jinsi majina yao yalivypatikana au yalivyomaanisha. Hawa ni baadhi tu ya watu maarufu ambao baada ya kuyakana tu majina yao halisi ambayo maana yao wanajua wenyew na wazazi wake,wamejikuta wakiogelea kwenye kisima cha mafanikio.
1😀IAMOND- jina lake halisi ni naseeb abdul,ni msanii wa bongo fleva,baada tu ya kukana jina lake halisi la naseeb na kujiita diamond,amejikuta akiishi kulingana na maana halisi ya jina lake.Diamond ni aina ya madini yenye kung'aa na yenye thamani.
LULU: huyu ni msanii kinda wa bongo movie,ana miaka 19 tu, jina lake halisi ni elizabeth michael,huyu pia baada ya tu ya kulikana jina lake,amekuwa akiishi kulingana na jina hilo,lulu amekuwa lulu kweli kweli,kwani kila kona ukipita hili jina sio geni,pia maisha yake yapo juu anaishi kulingana na thamani ya jina lake.LULU pia ni aina ya madini ambayo yanang'aa na yenye thamani kubwa.
3:JOHARI- pia huyu ni msanii mkubwa wa bongo movie,jina lake halisi ni blandina chagula,naye baada tu ya kulikana jina lake halisi amejikuta akiishi kulingana na thamani ya madini hayo yenye thamani,ni mmiliki wa kampuni ya rj company,kampuni inayofanya vizur sokoni kama thamani ya jina lake,pia huyu anaishi kulingana na jina lake,sijui na mimi nianze kujiita GOLD?? Labda nita shine na mimi,but hayo ni mawazo yangu tu,sidhani kama hayo majina yana mahusinao yeyote na maisha ya watu hao.