Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

starehe kubwa mambo yakuendee vizuri, tena kwa mwendelezo
siyo kukwama kwama pombe na wanawake ni kupunguza maumivu tu baada ya mambo kukwama
 
Suala la wanawake sio starehe liweke kwenye involuntary action,
 
Naunga mkono hoja ,tena hapa ngoja nitafute kianzio mchana mchana huyo kwa Mama Kagoma kaleta wahudumu wanaweusi wa kung'aa Kama kumbikumbi na matako mengiii mnoo.
 
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja

Starehe hizi ni
1. POMBE
2. WANAWAKE

Nawasilisha
Sio kweli. Mwanaume kamili na alie kamilika hajifichi kwenye chaka la ulevi wala pombe
 
Unawakosea sana wanaomiliki aifoni(iPhone) na wenye ist, huwa wanajikuta wapo kwenye starehe, hivyo ningeomba wakumbukwe kwenye orodha.
 
Kuhusu wanawake sio tendo la hiari, Mana Kuna watu vidumu vikijaa wanabaka,
 
Ukinywa Pombe vizuri mpaka ukajinyea huoni kama Starehe hizo huwa zinaendana.
Ukishajinyea hakuna starehe tena badala yake ni aibu na kupata kazi ya kujisafisha.
Starehe ni ile unasikia haja unaenda mwenyewe halafu choo ambacho upo comfortable nacho.
 
Ukishajinyea hakuna starehe tena badala yake ni aibu na kupata kazi ya kujisafisha.
Starehe ni ile unasikia haja unaenda mwenyewe halafu choo ambacho upo comfortable nacho.
Kama sisi ambao hupendelea kunywea karibu na Swimming pool ukihisi starehe zimefululiza unadive hapo vipi?๐Ÿคจ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ