Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

Ndio raha ya Starehe ya Pombe inaitwa Buy one get one for free unanunua Pombe halafu unapata starehe ya kujinyea for free..
 
Ndio raha ya Starehe ya Pombe inaitwa Buy one get one for free unanunua Pombe halafu unapata starehe ya kujinyea for free..
ulushawahi kunywa ukalewa ukajinyeee?
 
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja

Starehe hizi ni
1. POMBE
2. WANAWAKE

Nawasilisha
Sio Kweli
 
Mimi ulozi
 
Siku ukila ugali wa mtama ule mwekundu ndio utajua kunya sio starehe.
Hahahahaaa, umenikumbusha mbali sana.

Ugali wa dobisi(mtama mwekundu) ni noma sana, ukila, wakati wa kukata gogo ukiwadia lazima uwe egemeo la kukuwezesha kukata gogo, lasivyo shughuli itakwama
 
Hahahahaaa, umenikumbusha mbali sana.

Ugali wa dobisi(mtama mwekundu) ni noma sana, ukila, wakati wa kukata gogo ukiwadia lazima uwe egemeo la kukuwezesha kukata gogo, lasivyo shughuli itakwama
[emoji1751][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna starehe Kama kunya mkuu, hizo ulizotaja hapo ni matatizo matupu
ulishawah kupata ugonjwa wa kuganda kwa choo???,

kama haujawah waulize wahanga wa huo ugonjwa watakupa jibu kama kunya ni starehe au karaha,

am telling you my friend omba usikupate kwani hautataman hata kujamba.

ni shigdi shidaaaahh
 
we fala Pesa zinastarehe gani

matumizi ndio starehe
Ww ndio fala kabisq sisi hapa tunaangalia source of starehe km ukianza hoja zq namna basi hata hao wanawale toa andika kusex na hata mwingine atakuja hoja kusex sio starehe starehe ni kukojoa
 
Wanaume si matofali useme wote wanafanana.

Siajnywa pombe hata white wine tangu January 3 2021.

Na sijaimiss ki hivyo bado.

Kwenye friji lazima kuwe na beer kuhakikisha naweza kuipotezea, sijaishiwa tu.
 
Wanaobisha hasa swala la wanawake, je huo mtarimbo Mungu aliuweka kwa kazi ya kukojoa tu? (Namaanisha kukojoa mkojo na si vingenevyo)
 
uko sahihi mkuu
 
Starehe kubwa kuliko zote ni usingizi.

Usingizi hasa ule wa baada ya kunyanduana vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…